Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko Taifa wa Bima ya afya, Spika Mstaafu Anna Makinda, ameeleza hayo katika hafla ya uzinduzi wa huduma za karibu unatolewa na Madaktari Bingwa kutoka hospitali za Kanda hapa nchini ukiwa ni mkakati unaoratibiwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya.
Tatizo la wananchi wengi kutoelewa umuhimu wa huduma ya Bima ya Afya kiasi cha kutojiunga nao ,nalo linaonekana kuutia dosari mkoa wa Rukwa, Mkuu wa mkoa huo Zelote Stephen Zelote ametoa wito kwa wananchi wake kujiunga na huduma za bima ya afya, Mwakilishi wa Mkurugenzi NHIF katika hafla hiyo ameelezea umuhimu wa huduma za madaktari bingwa kufanywa katika mikoa ya pembezoni kama vile Rukwa, wanufaika wakitoa shukrani kwa mfuko wa Bima.
No comments:
Post a Comment