Nchi ya Ghuba ya Qatar imesema itadai fidia dhidi ya nchi zake jirani zilizoitenga nchi hiyo hasa kiuchumi.Nchi
za Saudi Arabia, UAE, Bahrain na Misri zote zimekata mahusiano ya anga,
ardhi na bahari na Qatar baada ya kuishutumu kuunga mkono makundi ya
kigaidi.Qatar imekana madai hayo, na imeunda tume itakayoshughulikia malalamiko ya hasara iliyopatikana kwa kampuni zake pamoja na watu binafsi.
![]() |
| Qatar kudai fidia kutoka nchi zilizoitenga |

No comments:
Post a Comment