Thursday, July 6, 2017

Wafuasi wa serikali wavamia bunge na kuwapiga wabunge Venezuela

Related image
Karibu wafuasi 100 wa serikali wamevamia bunge linalodhibitiwa na upinzani nchini Venezuela ambapo waliwapiga wabunge.
Walioshuhudia walisema kuwa makabiliano hayo yalitokea baada ya kikao cha bunge kuadhimisha siku ya uhuru.
Polisi waliakuwa wakilinda bunge walitizama wakati wavamizi waliokuwa na fimbo walipovunja lango.
Serikali imeapa kufanya uchunguzi.Image result for venezuela member of parliament foughtKarubi watu 350 walifungiwa ndani ya bunge kwa saa kadhaa wakiwemo waandishi wa habari, wanafunzi na wageni kwa mujibu wa spika wa bunge Julio Borges.
Bwana Borges aliwataka wabunge watano waliojeruhuwa. Baadhi walipelekwa kufanyiwa matibabu.
Venezuela imetikizwa na maandamano yenye ghasia miezi ya hivi karibuni na sasa inakumbwa na matatizo ya kuichumi.Opposition lawmaker Luis Stefanelli (L) gestures next to fellow opposition lawmaker Leonardo Regnault after a group of government supporters burst into Venezuela's opposition-controlled National Assembly during a session, in Caracas
Wizara ya mashauri ya nchi za kigeni ililaani ghasia hizo ikizitaja kuwa dhuluma dhidi ya demokrasia inayofurahiwa na watu wa Venezuela tangu ipate uhuru miaka 206 iliyopita
Kabla ya wavamizi kuingia majengo ya bunge makamu wa rais Tareck El Aissami alionekana bungeni akiandamana na mkuu wa majeshi Vladimir Padrino Lopez.Image result for venezuela member of parliament fought
Bwana El Aissami kisha akatoa hotuba akiwashauri wafuasi wa rais kuenda bungbni kumuonyesha raisu ungwaji mkono
Umati ulikuwa ukiandamana nje ya majengo ya bunge kwa saa kadhaa kabla ya kuingia ndani.

No comments:

Post a Comment

most viwed news

Uhuru na Lowassa waomba Wakenya kuvumiliana

Aliyekuwa waziri mkuu nchini Tanzania na mgombea wa urais katika chama cha upinzani Chadema katika uchaguzi uliopita Edward Lowassa amewata...