Korea Kusini imetoa kile
inachokitaja kuwa kanda yake ya kwanaa ya wanawake waliolazimishwa kuwa
watumwa wa ngono na wanajeshi wa Japan wakati wa vita vya pili va dunia.Kanda hiyo ya sekunde 18 inaonyesha wanawake kadha wakiwa wamejipanga wakizungumza na mwanajeshi wa China.
Wanaharakati nchini Korea Kusini wanakadiria kuwa wanawake 200,000 walilazimishwa kufanya kazi katika madanguro ya wanajeshi wa Japan.
Wanaaminika kutokea nchini Korea, lakini pia kutoka nchini China, Indonesia , Ufolipino na Taiwan.Hadi sasa kumbukumbu za wanawake waliolazimishwa kuwa watumwa wa ngono na wanajeshi wa Japan wakti wa vita vya pili vya dunia imekuwani picha na ushuhuda.
![]() |
| Video ya kwanza ya wanawake watumwa wa ngono yatolewa |

No comments:
Post a Comment