![]() |
| Trump (kushoto) na rais wa Poland Andrzej Duda |
Akiongea akiwa mji mkuu wa Poland Warsaw, Trump aliitaka Urusi kujiunga na mataifa yenye kuwajibika.
Urusi imepinga matamshi hayo ya Trump.
![]() |
| Bwana Trump akiwasili Hamburg kwa mkutano wa G20 |
Rais huyo wa Marekani amesafiri kuenda mjini Hamburg kuhudhuria mkutano wa G20 ambapo atakutana na rais wa Urusi kwa mara ya kwanza.
Mjini Warsaw alihutubia umati mkubwa uliokuwa ukimshangilia
Aliisifu Poland kama nchi iliyo tayari kulinda uhuru wa magharibi.
![]() |
| Watu wanaosikiliza hotuba ya trump Poland |
Bwana Trump aliitaka Urusi kuungana na nchi zinaowajibika katika vita dhidi ya adui mmoja.
Msemaji wa serikali ya Urusi Dmitry Peskov alisema kuwa Urusi haijakubali kuwa inavuruga eneo hilo.
![]() |
| Waziri mkuu wa Uingereza Theresa May na rais wa Marekani Donald Trump wakikejeliwa Hamburg on Thursday |
Trump ametofautiana na baadhi ya nchi za ulaya kuhusu mabadiliko ya hali ya hewa na biashara,
Mashirika ya kutoa misaada yatarajiwa kufanya maandamano mjini Hamburg kuwakata viongozi kujitahidi zaidi kumaliza kutokuwepo usawa.
![]() |
| Waandamani wawasili kwa traini mjini Hamburg |
![]() |
| Melania Trump (kushoto) akiwa na mama wa taifa nchini Poland Agata Kornauser-Duda |






No comments:
Post a Comment