![]() |
| Mtaalamu akitoa maelezo ya kisayansi kuhusiana na magonjwa
Shirika la afya Duniani, WHO, limetoa tahadhari kuwa, ugonjwa wa zinaa wa kisonono, umeanza kuwa sugu dhidi ya dawa ya kupambana na ugonjwa huo.
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa katika mataifa 77 tofauti Duniani, WHO imebaini kuwa maambukizi wa ugonjwa huo nchini Japan, Ufaransa na Uhispania, hayatibiki kabisa.
Lakini hata hivyo, shirika hilo linasema wengi wanaoambukizwa ugonjwa huo wako katika nchi masikini, ambazo zinavifaa duni kudhibiti ugonjwa huo.
Shirika hilo la Afya duniani linasema kufanya mapenzi bila ya kuingiliana na watu wachache wanaotumia kondomu kunasaidia kuenea kwa ugonjwa huo wa Kisonono.
|
Friday, July 7, 2017
Kisonono chapata sugu dhidi ya dawa zake
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
most viwed news
Uhuru na Lowassa waomba Wakenya kuvumiliana
Aliyekuwa waziri mkuu nchini Tanzania na mgombea wa urais katika chama cha upinzani Chadema katika uchaguzi uliopita Edward Lowassa amewata...
-
Watu 16 wafariki kwenye ajali ya ndege Marekani Takriban watu 16 wamefariki kwenye ajali ya ndege ya jeshi kwenye jimb...
-
Vyama vya upinzani nchini Zimbabwe vimerejelea wito wao wa kutaka Rais Robert Mugabe mwenye umri wa miaka 93 ajiuzulu, na kumlaumu kwa k...

No comments:
Post a Comment